kahawa ya edmark

13
Vyanzo vikuu kumi vinavyopelekea vifo nchini Tanzania Saratani (Cancer) 15% Ugonjwa wa Moyo (Ischemic Heart Disease) 13% Kiharusi (Stroke) 11% Chronic Obstructive Pulmonary Disease 6% Maambukizi kwenye Mfumo Mdogo wa Upumuaji (Lower Respitory Infections) 5% VVU (HIV) 3% Kuhara (Diarrheal Disease) 3% Ajari za Barabara (Road Injuries) 3% TB (Tuberculosis) 2% Malaria 2% Chanzo cha taarifa: GBD Compare, 2010 Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023

Upload: ysdo-and-map

Post on 17-Jul-2015

160 views

Category:

Food


2 download

TRANSCRIPT

Page 1: Kahawa ya edmark

Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023

Vyanzo vikuu kumi vinavyopelekea vifo nchini Tanzania

Saratani (Cancer) 15% Ugonjwa wa Moyo (Ischemic Heart Disease) 13%

Kiharusi (Stroke) 11% Chronic Obstructive Pulmonary Disease 6%

Maambukizi kwenye Mfumo Mdogo wa Upumuaji (Lower Respitory Infections) 5%

VVU (HIV) 3% Kuhara (Diarrheal Disease) 3%

Ajari za Barabara (Road Injuries) 3% TB (Tuberculosis) 2%

Malaria 2%

Chanzo cha taarifa: GBD Compare, 2010

Page 2: Kahawa ya edmark

Takwimu za uzalishaji na Mauzo ya kahawa duniani

Mwaka 2011 mauzo ya kahawa duniani kote yalikuwa yenye thamani ya dola za kimarekani 70.86 Billioni (takrribani Tsh 113,376,000,000)

Baada ya maji, kahawa ndicho kinywaji kinachofuatia kwa matumizi duniani. Kila siku idadi ya vikombe 2,500,000,000 vya kahawa hunywewa ulimwenguni kote.

TIBA YA UGONJWA WA MOYO KWA KUTUMIA

KAHAWA

Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023

Page 3: Kahawa ya edmark

Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023

Takwimu za uzalishaji na Mauzo ya kahawa duniani

Mwaka 2011, inakadiriwa kuwa uzalishaji wa kahawa ulifika tani 5.9(kilo 5,900,000,000 ndio bidhaa inayouzwa sana ulimwenguni baada ya mafuta. Barani Afrika, kwa wastani kila mtu hutumia kilo 14 kwa mwaka. Mauzo ya kahawa maalum huongezeka asilimia 20% kila mwaka.

Mamilioni ya watu duniani hulipa hadi kufikia $ 4(Tsh 6,400) kwa kikombe kimoja cha kahawa na huweza kunywa hadi vikombe 3-5 kwa siku

Page 4: Kahawa ya edmark

Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023

Kahawa tiba ni moja tu

Page 5: Kahawa ya edmark

Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023

Kahawa yenye AfyaHaijapata kutokea Kabla

Ni nzuri zaidi…..

Kahawa Yenye Uwezo wa Kushusha Lehemu (cholesterol) mbaya, Kusaidia Mmeng’enyo wa Chakula na Kusaidia

Mzunguko wa Damu, Inaondoa Sumu na Kupunguza Kasi ya Kuzeeka,

Kuchangamsha Ubongo na Kurudisha Kumbukumbu, Kuongeza kiwango cha

hewa ya oksigeni mwilini, Kuzuia Saratani na Kuongeza Kinga Mwilini

Page 6: Kahawa ya edmark

Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023

Ubora Uliomo kwenye Kahawa ya Kipekee ya Ginseng

Imetengenezwa kwa kahawa asilia ya Arabica kutoka Brazil na Columbia na kuchanganywa na mmea wa Ginseng

Ginseng ina kiambata kiitwacho Ginsenoside chenye uwezo wa hali ya juu

wa kutibu, kunoa ubongo, kurudisha kumbukumbu na kusawazisha shinikizo

la damu.

Page 7: Kahawa ya edmark

Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023

Faida za Kahawa ya Ginseng ya EDMARK

Kunoa ubongo na kurudisha kumbukumbu Kuongeza uwezo wa kuona na kusikia Kuongeza uwezo wa kufikiria Kupunguza na kuondoa lehemu (cholestorol) mbaya Kushusha shinikizo la damu mwilini Kuongeza kiwango cha oksijeni mwilini Kupunguza mapigo ya moyo wakati wa kufanya

mazoez Kuondoa sumu mwilini Kuzuia saratani (cancer)

Page 8: Kahawa ya edmark

Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023

Mapambano MEKUNDU dhidi ya Ugonjwa wa Moyo

Ugonjwa wa Moyo unaongoza kwa kuua wanaume na wanawake duniani. Lehemu iliyozidi mwilini ni chanzo kikuu cha ugonjwa wa moyo. Uhalisia ni kuwa, kadiri kiwango cha lehemu kinavyozidi mwilini, ndivyo kiwango cha hatari ya kupata ugonjwa wa moyo kinavyoongezeka.

Page 9: Kahawa ya edmark

Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023

Lehemu

Hutokea baada ya kukamaa kwa mishipa ya ATERI (atherosclerosis) na hupelekea maumivu ya kifua (angina), maumivu ya moyo, au kiharusi.

Sababu kuu: Umri Unywaji wa Pombe Ulaji mbovu Jinsi (wanaume wapo kwenye hatari zaidi) Kurithi Kukosa mazoezi Uzito uliozidi

Page 10: Kahawa ya edmark

Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023

Njia 2 za Kupunguza Kiwango cha Lehemu Mwilini

1. Kubadili Mfumo wa Maisha- Badili mfumo wa ulaji - Ongeza mazoezi ya mwili- Dhibiti uzito wa mwili wako

Page 11: Kahawa ya edmark

2. Njia ya Vidonge

MapungufuNjia ya kwanza:

Ni ngumu sana kwa mtu ambaye ameshakuwa na tatizo au dalili zake

Njia ya pili:Hii hupelekea kwenye matatizo kama-

kizunguzungu, aleji, maumivu ya mifupa, kiungulia, na kuharibika kwa INI

Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023

Page 12: Kahawa ya edmark

Sasa Shusha Kiwango Cha Lehemu kwa Kutumia Njia Ya Asili!

Kahawa Nyekundu Iliyotengenezwa kwa kutumia Kahawa Asilia na

Mchele mwekunduTafiti zinaonesha mchele mwekundu una faida zifuatazo katika kushusha kiwango cha lehemu mwilini:-Ina utembwe, wanga wa mchele, sterols na fati asidi za kupunguza kiwango cha lehemu mbaya na kuongeza kiwango cha lehemu nzuri- Ina HMG- CoA inayodhibiti uwezo wa ini kuzalisha lehemu hivyo kuzuia uwezo wa kupata ugonjwa wa moyo- Ina Mevinolin yenye viondoa sumu mbalimbali Tunapatikana kwa simu namba

0756058976 na 0717517023

Page 13: Kahawa ya edmark

Tunapatikana kwa simu namba 0756058976 na 0717517023

Faida za Kahawa Nyekundu Inapunguza lehemu (cholesterol) mbaya

mwilini Inaongeza kiwango cha lehemi nzuri Inasaidia mzunguko wa damu na

mmeng’enyo wa chakula mwilini Inaondoa kabisa maumivu ya mgongo Inaongeza viondoa sumu mwilini

1

2

3

4

5